DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

NAAMINI MUNGU ANAKWENDA KUMPONYA RAISI WA TLS MPAKA MTASHANGAA
 
Siku zote Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
 

KWA HIYO CCM WALIJUA HUYU BWANA YATAMTOKEA YA KUMTOKEA TOKA MWEZI AUGUST?
Kweli mwenyezi anajua kuumbua.
 
Unyama huu ni ktendo klchopangwa na lengo n kutoa uhai wake akka mungu ndo anaejua uhai wa mtu, na hao wanafk wanaoanza kutoa salam za pole n unafk mtu hao ndo wapangaj wa shambulio hilo, na mungu hakka atawaumbua. Hakka uongozi wenu hautakubalka na jamii, mtalaaniwa na mwsho wenu n mbaya,nyie endeleen na utawala wenu wa kdkteta uchwara, jiulzen gadafi yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lissu amekuwa akifuatiliwa na vijana wa kazi muda mrefu na alijua hilo na hata kulisemea kwenye moja ya press conferences zake akitaja aina na namba za gari! Kwa leo halikuwa tukio la kipekee sana mpaka dereva aliposhangaa wafuatiliaji wamekomaa naye mpaka nyumbani na ndio akatoa tahadhari kwa boss wake asishuke kwanza ili waone wafuatiliaji wanatakaje! Kwamba wameamua kumfyatulia risasi akiwa bado kwenye gari ina maana dereva angejaribu kuwakimbia wangemfukuzia na kupiga gari risasi matairi likiwa kwenye mwendo kasi ili ale mzinga! Story ingetengenezwa nyingine kabisa! Bora limefanyika kweupe nyumbani kwake ili kila mmoja aone na ajue tulikofika
 
wauwaji hawawezi kupiga risasi 8 halafu wapige tumboni,miguuni na dereva asiguswe..au laa hawakuwa professionals
Lini wamewahi kuwa competent watz?Wanaweza kutupiga wanyonge tuu.Ila kila mahali watz ni very predictable and incompetent km maprof yao. Kwanza aliyepanga issue nzima sio competent.FINALLY MUNGU NDIE MKUBWA.
 
Hapa kuna ka mchezo kanaendelea,ili serikali ionekane haitendi haki,
Kama hawa waliompiga risasi,ndio wale waliolipua ofisi za IMMA,hawa watu ni professionals,gun for hire,
Idara za kiientelligencia wawe makini,hii kesi ichunguzwe na vijana wa ikulu,sio polisi tu,alipopigiwa risasi,area D,Dodoma,ni eneo lililo kimya,ni low density area,huwa hakuna pirika pirika nyingi,ni kama masaki kwa dar,sasa kama watu wanafanya uharifu,na kupotea,mpaka sasa HV,hakuna aliyekamatwa,kazi sio ndogo
 
Hiyo bili analipa nani? Tls lile jengo halitajengwa ngo! Hela yote itaishia kwenye matibabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…