DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Niliwahi kuwambia mshaulini huyu Jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamemshindwa mahakamani sasa wameamua kumuua kabisa!
 
Breaking ITV, Mbowe amezungumza na kuthibitisha, ameongeza kuwa hali yake ni mbaya anaendelea kutibiwa
 
kwa mujibu wa hiyo picha, washambikiaji walikuwa wanajua wanacho fanya.

angalia tundu ka mwisho la risasi katika kioo cha nyuma ni usawa wa kichwa kinapo egeshwa pindi mtu mzima akaapo

[HASHTAG]#mikono[/HASHTAG] ya elite.
 
 
Huku tunakoelekea sasa siko...mapambano yafanyike kwa hoja tu sio kumwagana damu.
Naiunga mkono serikali kwa mapambano ya kulinda na kutetea rasilimali zetu lakini hili la usalama kwa raia ni la muhimu zaidi hasa hasa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…