Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kuwambia mshaulini huyu JamaaWakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
![]()
![]()
Updates to follow
Huko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...
but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge
Kuwa na ubinadamu basi dah unafikiri siasa zitakusaidia ninjHuu ni ugomvi wa madaraka ndani ya chadema....
Huyu ashakuwa bongo fleva sasaMzee wa drama kazini [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amepigwa risasi ngapi
Maana kama nia nikumuua sidhani kama katakua karisasi kamoja au viwili
Na kapigwa maeneo gani haswa
[emoji1] [emoji1] ni kiki tuTukisikia imemchubua basi tutajua ni KIKI,
Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni
![]()
![]()
Updates to follow