DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

kumbe gari iliyotumika ni nissan.nadhani mnajua nissan zinatumika na idara gani ya serikali

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Vipi tena mbona hiyo taarifa ya pole kutoka Lumumba ni 7/08/2017.... duh out of deadline...
 
tokea Tanzania ipate uhuru hili ni tukio la aina yake..Kwenye hii awamu ya watu wanaopenda kiki kuna tatizo
 
Kwa yeyote aliyehusika na tukio hili, iwe Taasisi au mtu binafsi au kikundi cha watu ni hatari sana kwa usalama wa nchi.

Njia pekee ya kuwashinda adui hawa ni kutowaogopa na kuendelea na mapambano dhidi ya demokrasia ya kweli mpaka Watanzania wote watapokomboka. Tupo vitani na hakuna haja ya kurudi nyuma.

Kiongozi mvunja demokrasia ni lazima ashindwe. Haluta kontinuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Aliyepiga risasi bila kujali katumwa na nani awe kichaa na kuropoka mpango wote wa aliyoyatenda barabarani.

Aanze kuoza kuanzia miguu, mikono kuelekea mwili wote. Familia yake mke/mume watoto wafe kwa siku moja ili machungu aliyokusudia kuleta kwa Familia ya Lisu na watanzania kwa ujumla ayapate yeye.

Ikiwa hivyo hata wengine wenye mipango dhalimu kama hiyo liwe fundisho ili tuishi nchi ya amani.

Amani inayoimbwa hisibaki kwenye majukwaa bali tuione watanzania wote bila vitendo viovu kama hivyo!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kauli mtu ukiwaza unashangaa kwamba kuna watu wana ukoo na YESU. Eti binadamu unathubutu kumwambia binadamu mwenzako ukileta fyoko fyoko nitakufyokoa

Shubaaaamit.............

Nyakageni
 
Pole kwa Mh Lissu (leo situmii ile # yangu kwa kuwa ni suala la kusikitisha. Mungu ampe kupona.
 
Hizo sheria mtunzi alikua ni nan kama sio nyinyi wenyewe?!
Kwani kile kivuko mlichowapa jeshi ilikuaje...
Na kuuza nyumba za serikali je?!
Pia hujanijibu kuhusu kutafuna rambirambi za wafiwa

Nayo ni kufuata sheria?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…