Ukristo msingi wake Ni Biblia. Ndicho kipimo tulichopewa. Hakuna sehemu tumetakiwa kuomba visasi kwenye Biblia. Nifundishe nami hiyo verse. Nafanya hivi kutimiza lile ndiko, tuonyane sisi kwa sisi. Otherwise jinsi ilivyo Roho yako ndio uhusiano wako na Mungu. Ila Kumbuka, huwezi kumpenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia mwanadamu unayemwonaAka!
Andika sala yako mwenyewe kisha umtaje huyo Mungu wa Dunia hii uliye mwandika hapo juu.
Ukristo ni personal relationship yangu na Yesu, Who are you between me my faith and my Jesus?
Mnafiki kiwango cha lami,shame on you...Kwani waliopigwa risasi kibiti sio binadamu mbona hamkusema nao wakatibie nje? Na hata michango hamkuwachangia mngekuwa na huruma mngechanga kwa ndugu zetu wa kibiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unatakajeKuna viongozi wa ccm walipigwa risasi kibiti pamoja na police wengi tu lakin hatukuona rambirambi wala kusema chochote ila lisu sababu yeye ni mbunge ndiyo tuwe mbele kwake haipo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamempeleka Nairobi tutawasiliana nao ikiwezekana wamlete huku matibabu ya Risasi washazoe na MTU ukipigwa tumboni hauwezi kufa ukishafika Stive Biko academic Hospital, JHB,UTH hata great Skill ya Cape Town akiletwa hapa matibabu hayo ni bure ni passport na address yako tuu..watu waliopata ajali matibabu juu ya Serikali hata update Nchi yeyote huko..Mnajifanya mmeguswa wakati hata bakuli hamtembezi
Chuma cha mjerumani Tanzania sio Nchi ya amani usikaririshwe wakati matukio ya utekaji na kupigwa risasi yanaendelea Bongo wanaopiga risasi wanafanikiwa kila kukicha...
Mnnhhh....!!¤¤Lowassa nilishamsema humu watu wakinishambulia lakini kama kuna watu hatari Chadema basi ni Lowassa na Sumaye sijawai wakubali kama ni wapinzani