MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
May beNafas ya kugombea Kiti cha urais kwa upande wa chadema kitawacost wengi,,mwenye chama ameshasema atagombea 2020 halaf nyie mnampigia debe lisu asimame na magufuli 2020 badala ya lowassa hah,itawacost sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina.
Umeisahau Kivipi wakati unaitaja?
Ofisi za Fatma Karume ni za siasa au uwakili?Unafiki UPI mkuu? Wewe umelala kwako raha tuliii sisi tunauguza. Mtatuambia alikuwa shujaa pengo lake halizibiki.
Mawazo familia inateseka, wangwe pengo limezibwa watoto wanahaha, Mwangosi mjane anapata shida na iringa mwandishi keshaziba pengo.
Msitudanganye.
Ukirudi baba tuachane na siasa. Tuendeleze uwakili tuuu.