DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

amen

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Unafiki UPI mkuu? Wewe umelala kwako raha tuliii sisi tunauguza. Mtatuambia alikuwa shujaa pengo lake halizibiki.
Mawazo familia inateseka, wangwe pengo limezibwa watoto wanahaha, Mwangosi mjane anapata shida na iringa mwandishi keshaziba pengo.
Msitudanganye.
Ukirudi baba tuachane na siasa. Tuendeleze uwakili tuuu.
Ofisi za Fatma Karume ni za siasa au uwakili?
Ukipata majibu basi toa ushauri mwingine
 
Moes unachobisha ni nini hawa matukio ya risasi ni kila dakika na kuna maeneo mtu akipigwa hata hospital hafiki kwa risasi Moja tuu kesi nyingi za kupigwa tumbo na miguu wanapona kabisa...Figo zipo zinauzwa...
 
Kila kitu ni kama angekuwa amejeruhiwa uhuru kenyatta ingekuwa faster itafahamika tu!
 
Wadau,
Nawasalimia ktk jina la Tanzania!

Kila mmoja wetu tuungane kumuombea Mh. Lissu ili apone haraka.

Mbinu hii chafu na dhalimu ya mabebari ya kutaka kutuchonganisha kwa kumpiga risasi Mh. Lissu ishindwe ktk jina la Tanzania. Watanzania tunaamini ktk umoja wetu, tunaamini ktk Tanzania. Mbinu zao nyingi zilishashindwa na hili watashindwa na Tanzania yetu itabaki.

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania, na wale wote wanaotuonea wivu washindwe ktk jina la Tanzania.

Tuwe watulivu wadau tukisubiri vyombo vyetu chini ya Amri Jeshi Mkuu Dkt Magufuli vikifanya kazi ili kutoa mbivu na mbichi kwa kuwabaini wahusika na ili sharia ichukue mkondo wake.
 
[HASHTAG]#mandella[/HASHTAG]

ni typin' error. Lakin natambua nimeeleweka
 
Back
Top Bottom