DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali



wanajf,thread kama hizi zinaonesha jinsi seikali ya ccm inavyofunda viongozi wa baadae,Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kuks maarifa, nilini kiongozi makini akaongea hoja ya kitoto kama hii,wakati mtoto na mwanachama wa Democrat akiongea uchumi ,wanaccm wanaongea siasa mfilisi kama hii,TUJISAHIHISHE Haya mambo ya mizengwe yamekita mizizi ndani ya vijana wa ccm
 
Taratibu mkuu, mkono wa Mungu hujafunuliwa wewe!unani wewe uhukumuye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuatia kitendo cha tindu lisu kupigwa risasi, ni wakati muafaka wa upinzani kujiondoa ubunge na kuanza uanaharakati wa na kuacha ccm pekee waongoze nchi kama wanavyotaka, damu ya lisu iwe chachu ya kudai upya uhuru wa tanzania tulionyang'anywa tangu oktober 2015 na minyang'ao. Watanzania tupaze Saudi zetu.
Unawaza kama mimi kiasi japo
 
Taratibu mkuu, mkono wa Mungu hujafunuliwa wewe!unani wewe uhukumuye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Ndayilagije Olasitti Arusha hawa jamaa wamerushiwa bomu na kuuliwa wanne, Tarime Nyamongo hawa jamaa wamefanyiwa ambush na kuuliwa 4, Mbeya ambush wakati wa campaign na kucharangwa mashoka na kuuliwa 2, Geita Alphonse Mawazo anacharangwa mashoka na kuuliwa, Leo Tundu Lissu anamiminiwa risasi zaidi ya 32 bado huoni na unadai kuhukumiwa?! Hebu sema hata sehemu moja ambayo CDM imefanya harakati zake na kusababisha kifo au majeraha upande wa pili?! Vinginevyo unasumbuliwa na mahaba kupindukia

Cairo's
 
Asante mkuu,mie niko neutral tu,ila kujihesabia haki hakumpi Mungu utukufu isipokuwa unatafuta utukufu wako mwenyewe tu. Sipendi,sitaki,sitamani hata mmoja wetu apotee na ninahakika 100% hata mabaya pasi kibali cha Mungu hayawi.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 

Sawa sawa.Ujue muda ni mwalimu mzuri sana
 
subiri mother yako afe utamla nyama



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani ni uongo?
Si kila siku mnafunguaga mamia ya thread za kuombea mabaya wana CCM ikiwemo vifo
Haya sasa Lisu naye anaombewa asipone

 
Imeandikwa "AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA"
Pia imeandikwa"KIPIMO UPIMACHO NAWE UTAKUJA KUPIMIWA KIPIMO KILE KILE".
Kwa mantiki hiyo hiyo, UKIFURAHIA MACHUNGU YA MTU MWINGINE, ujue machungu ya kipimo kile kile utakuja kuyapata.
Lakini kwa ujumla mambo ya kupigana risasi na hujuma zingine hayafai hata kidogo. Kazi yetu kubwa kama watanzania ni kupambana na MABEBERU wanaotidhulumu rasilimali zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni uongo?
 

Kama sisiemu ni Nguruwe.

Basi aendelee kupigwa mikuki.
Mpaka adondoke,
Manake ni kitoweo.


Thamani ya Uhai wa Mwanadamu hailinganishwi na material things.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matukio hayafanani. Kwani hao wana ccm waliokufa na CHADEMA kushangilia kwani waliuawa kwa kupigwa risasi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni Magufuli tutanyamaza tukiwa wafu, wafu huwa hawaongei-TL

Get well soon Lisu
 
Bavicha hawajui wanachopigania wapo kama mazuzu,kesho Mbowe akiwaambia wakae kimya wasimzungumzie Lissu yataufyata
Bavicha wanageuzwa geuzwa tu kama chapati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…