DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mbona unaweweseka hivyo kuitetea serikali wakati serikali yenyewe haijakanusha kuhusika ama kukubali, wewe unawashwa na nini, au twambie kama umekuwa msemaji wa serikali
 
Hizi propaganda za 300/- hazitasaidia kuwasafisha na tuhuma hii, yaani baada ya dakika 30 Lumumba mnaanzisha thread zenye maudhui yaleyale. Wengine mnajifanya hamna upande na kumpa pole Lissu kumbe roho zenu zina furaha isiyokamilika baada ya mission yenu kufeli.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Si mkulu alisema yupo kwenye vita ya kiuchumi ambayo imeshuhudia wananchi wakiachwa hawana Kitu kwamba atakaye kuwa kinyume naye atamshughulikia.
Inaonekana ndio hivyo alivyoamua kumshughulikia liso
 
Simple, kuthibitisha kama wao hawakuhusika na tukio hilo basi waungane na wapelelezi wengine nguli duniani kuongeza nguvu ili wawasake haraka wale wote waliotaka kuteketeza uhai wa Lissu ili lawama juu yao iwaondokee.

Kukiondoa kikombe hiki juu yao ni lazima wawanase wahusika na wauthibitishie umaa wa watanzania na dunia kwa ujumla kwamba wao hawana hatia.
 
Katika hii picha inayosambaa mitandaoni inaonesha gari la lisu lililopigwa risasi.
Ukiitazama vizuri picha hiyo kwenye mwangwi wa mlango wa gari utaona mpiga picha wa gari hiyo akivalia koti la suti rangi ya khaki na shati blue na suruali nyeusi.(upande wa kushoto wa kitasa)

Kichwa chake hakionekani lakini ni mtu mwenye kitambi flani hivi.

Pia kwa upande wa kwenye kitasa(upande wa kulia wa kitasa) mwangwi wake uaonesha kama vile kuna gari ndogo nyeupe (muundo wake ni ngumu kuutambua)

Mpiga picha huyu anaonekana akiwa mwenyewe tu(kivuli ni kimoja tu)
Katika picha za hospitali au zile za baada ya tukio sijaona mtu mwenye haiba ya mpiga picha.

Je ni nani?

Je ni nani aliyepost hii picha kwa mara ya kwanza?

KIZAZI CHA KUHOJI!!
 

Attachments

  • IMG-20170907-WA0041.jpg
    51.6 KB · Views: 58
Swali ni rahisi kwa lugha ya kiswahili tutegemee majibu kwa lugha ya kishetani matusi na kiingereza,wamepiga tiktaka na msuli ndani hawana boksa!
 
Kwa mfano ukiambiwa jina lake ni Pius Simon au Vicent Marwa au Mtalas Ngunangwa kisha itakusaidia nini?

Ni picha ya uongo?

Ni tukio la kutengeneza kama mlivyokuwa mnasema mwanzo? Halikuwepo?
 
mh! Mie tokea nilivyosoma ile habari kuwa Lissu hatarudia hali yake ya zamani nimeumia sana! Yaani mtu anapata ulemavu wa hivi hivi tu! imenisikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…