DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

So sad....ni kweli kashambuliwa na risasi.....soon nimemsikiliza mh.Mbowe akiongea clouds radio.

Fight...believe & obedient
 
hii ndio point ya msingi pia.
mtu yoyote,wakatik wowote,kutokea mahala popote,kwa nia yoyote anaweza kumfanyia lolote ili tuvurugane.
maana hadi sasa ukisoma, kila mmoja anamtupia lawama mwenzake badala ya kumtakia kheri.
Ni wazi kabisa mkuu, na nafikiri unajua lawama zinaenda kwa nani hadi wakati huu!

Tuweke tofauti zetu za kisiasa pembeni, tumeikuta nchi ikiwa na amani na tuiache nchi ikiwa na amani!

Hakuna tunachoweza kufanya bila amani!
 
2490b7219c65292016033996f61c5985.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom