DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Naomba upone haraka
Eeeh Mungu muokoe huyu jamaa maana alitutoa gizani kuhusu bombadia
 
Hoja zijibiwe kwa hoja siyo risasi. Mnafikiri nyie mtaishi milele hapa duniani.Mungu alaani kizazi chenu choooote milele na milele, amen!!!
 
Hapana. Akifa naandamana akiamungu

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
damu ya Lissu haitaondoka bure.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Bad news ever in my life..Eeh Mungu fanya muujiza wako mmponye mpambanaji huyu
 
Siku imegawanyika kati ya usiku na mchana sijui katika hali iliyopo kwa sasa tuko mchana au tuko usiku ila ijulikane auaye kwa upanga naye atauawa kwa upanga
 
Kila mtu apambane na hali yake, ukiwa unapambana tegemea unaopambana nao pia watajibu mapigo
 
Kuna tetesi za habari mbaya! Mungu epusha
 
Back
Top Bottom