DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kuna watu humu habari hyoi watafurahiaa sana


OvA
 
Huu uzi unafatiliwa kwa karibu sana na viongozi wa CCM.



Chungeni sana kauli zenu.

Uzuri mungu ataitaka damu ya wauwaji katika mikono yao.Na hakuna falme wala mamlaka itakayozuia wauwaji kudaiwa damu.

Namshukuru mungu sababu hakuna mpumbavu yeyote na dhambi zake ataniambia mfanyie mtu ubaya nikafanya. Imeandikwa kuwa mwenye dhambi akikushawishi kataa.
 
Watanzania muache kuhusianisha hili swala na siasa mnataka kutuaminisha watz kuwa serikali ya madarakani imefanya hivyo maana naona comments zenu humu sio vizuri aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
19ca187b3b86a07ea30b906575939f85.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hoja zimewashinda wameamua kummaliza kabisa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Dah aisee hii Tanzania yangu inaenda, Lisu akifariki hakika hata Mawe yatapaza sauti
 
Back
Top Bottom