DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kuna mtu alisema apewe kazi ya kumfanyia mamboz lisu, huyo ndiye wa kuanza nae haraka sana...
 
Get well soon Tundu Lissu ....lakini kwenye hili swala sina imani kabisa na Chadema
 
pic+lissu2.jpg

source, Mwananchi...
Tundu Lissu apigwa risasi Dodoma
Mungu amponye
 
unataka kumuua lissu ili iweje ana ndugu,familia,jamaa,marafiki wanaomtegemea,kwann tusibishane kwa hoja haya mambo ya kuuana yashapitwa na wakati bna tubadilike.
\
 
damu ya lissu haitapotea bure

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
This is unacceptable in a democratic and civilized state of ours!! Get well Bro.
 
God have a mercy on us. Aisee hta Kama tindu kisu ni mbaya huwez kumuombea mabaya.

tuweke siasa pembeni yeye Binadamu kaa sis Sijui Unapata dhawabu gani kwa kumuombea mabaya???huwez kuwa yeye Na huwez chukua cheo chake.. Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuhukumu.

Get well soon Tindu lisu. .Mungu akufanyie wepes
 
Back
Top Bottom