DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kuna watu wanataka kumtoa Magufuli kwenye Urais ndani ya CCM, sasa wanapanga mipango ovu ili kumkosanisha na umma.Muda utaongea.
 
Wale waliokuwa wakimfuatilia lissu kwa gari alilolitaji wasakwe haraka sana!
Namba za lile gari zipo wazi alizitaja, wakamatwe wanaotembelea hilo gari fasta...
 
Aysee na mahali zilipoingia kwenye gari ni pabaya sana, Mungu tusaidie
 
God forbids, but If Lissu was to die from this assassination attempt, I would call my son after his full name! And the next after him being TL Snr & TL Jnr!
 
Ile amani iliyokuwepo Tanzania imeshapotea!
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
msaliti,kakusaliti kivipi?
tapeli, amekutapeli nini?
 
Yawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......
 
Back
Top Bottom