Sio bure utakua mstaafu wewe UNAWASHWA WASHWAMIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Huyu mtu aliyetenda unyama huu amelifedhehesha taifa letu na kulipaka doa jeusi la milele. Lisu kama Rais wa TLS anaingia katika fikra na mawazo ya wanasheria wote duniani na kuacha kumbukumbu ktk medula oblongata zao ambayo haitafutika. Lisu kama mbunge unyama ule unaingia ktk fikra za wabunge wote wanaompenda na wasiompenda na kuweka kumbukumbu ya kihistoria ktk vichwa vyao hata kama sasa wanajibaraguza. Lisu kama mwanasiasa anaiingiza nchi ktk historia mpya pamoja na kwamba kuna wanasiasa waliokufa vifo vyenye utata, lakini huyu Lisu amemiminiwa risasi nyingi tena katikati ya mchana wa jua kali. Lisu kama mwananchi kumwagika kwa damu yake kutajadiliwa kwa muda mrefu na wananchi iwe positively ama negatively na hili si jambo jema kwa mustakabali wa kizazi cha leo na kijacho. Tuliwahi ambiwa huko nyuma ' za kuambiwa changanya na za kwako' na mimi nasema hivi mbele za Mungu kila mtu atatoa hesabu ya kazi yake mwenyewe. Tanzania kama taifa yatupasa tupendane na kutakiana amani, ahsante!
Akumbuke kuwa kila jambo tulifanyalo kwa siri Mungu huliweka wazi!Ni mtu hatari sana hajulikani lakini anafanya mambo yanayojulikana.
Tatizo siyo ubongo wako bali ' upofu wa roho ulionao' na usijidanganye kuwa unakijua chama kuliko Nape Nauye kalagabaho!Ungeweka na hayo yaliyokupeleka kuandika hayo.
Plastick inatoboa chuma?MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Kama binadamu!Hivi lissu wamempiga risasi kama rais au kama mwanasheria?
“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”
Hata mimi naamini shambulizi lolote la risasi, zile zinazo onekana kwenye nguo kama damu ni tomato sosiMIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Una akili ndogo sana wewe. Tangu lini risasi za plastiki zikapasua bati la gari na kupasua kioo cha gari. Waongea kama mwanamke aliyotoka kunemwa. Ficha ujinga wako utunze heshima yako. Jinga la mwisho wewe.MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Tatizo siyo ubongo wako bali ' upofu wa roho ulionao' na usijidanganye kuwa unakijua chama kuliko Nape Nauye kalagabaho!
Huo ubongo wako wa kuku upeleke kwa bavicha wenzio!Embu jione ulivyo.. kama hauna la kunijibu ungepita hukooooo
Ndio maana wengi mnabakiaga kuwa ma alosto kwa sababu hamuulizi.. nimeuliza unaweuka kwa kuwashwa washwa... jipige vibao vya usoni ulie kwanza
Una mental illness....MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Wewe mama shughuli mbona nawe upo hapa unaleta umbeya?!!!!Dah sasa naona hamna shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya huu umbea wa TL.
***** wewe.MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA