DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Huyu mtu aliyetenda unyama huu amelifedhehesha taifa letu na kulipaka doa jeusi la milele. Lisu kama Rais wa TLS anaingia katika fikra na mawazo ya wanasheria wote duniani na kuacha kumbukumbu ktk medula oblongata zao ambayo haitafutika. Lisu kama mbunge unyama ule unaingia ktk fikra za wabunge wote wanaompenda na wasiompenda na kuweka kumbukumbu ya kihistoria ktk vichwa vyao hata kama sasa wanajibaraguza. Lisu kama mwanasiasa anaiingiza nchi ktk historia mpya pamoja na kwamba kuna wanasiasa waliokufa vifo vyenye utata, lakini huyu Lisu amemiminiwa risasi nyingi tena katikati ya mchana wa jua kali. Lisu kama mwananchi kumwagika kwa damu yake kutajadiliwa kwa muda mrefu na wananchi iwe positively ama negatively na hili si jambo jema kwa mustakabali wa kizazi cha leo na kijacho. Tuliwahi ambiwa huko nyuma ' za kuambiwa changanya na za kwako' na mimi nasema hivi mbele za Mungu kila mtu atatoa hesabu ya kazi yake mwenyewe. Tanzania kama taifa yatupasa tupendane na kutakiana amani, ahsante!

Ni aibu kubwa sana ambapo serikali ilipaswa kufanya la maana kweli kweli kujisafisha katika hili kwa kuhakikisha TAML anapata the best medical attention available on the land na pia mashirika huru na makini kabisa katika uchunguzi yanashirikishwa kuwapata washenzi waliohusika na kuwachukulia hatua kali sana.

Hawa waliohusika wakihukumiwa kifo Mkulu aitishe mafaili yao yafikishwe kwake mara moja kinyume na aliyosema hivi karibuni.
 
Hivi kweli rais wa nchi anakubali raia wake amiminiwe risasi zaidi ya 30 bila kuguswa na kusema chochote zaidi ya kuandika kwenye Twitter, inasikitisha, he should have said something to console the victims, lakini hakuna shida ndiye rais aliyetupa Mungu huenda ana makusudi yake.
 
1f44d5f90f951444a7fa3dc7d68b3a1a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi lissu wamempiga risasi kama rais au kama mwanasheria?

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Plastick inatoboa chuma?

Hata mimi naamini shambulizi lolote la risasi, zile zinazo onekana kwenye nguo kama damu ni tomato sosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Una akili ndogo sana wewe. Tangu lini risasi za plastiki zikapasua bati la gari na kupasua kioo cha gari. Waongea kama mwanamke aliyotoka kunemwa. Ficha ujinga wako utunze heshima yako. Jinga la mwisho wewe.
 
Tatizo siyo ubongo wako bali ' upofu wa roho ulionao' na usijidanganye kuwa unakijua chama kuliko Nape Nauye kalagabaho!

Embu jione ulivyo.. kama hauna la kunijibu ungepita hukooooo

Ndio maana wengi mnabakiaga kuwa ma alosto kwa sababu hamuulizi.. nimeuliza unaweuka kwa kuwashwa washwa... jipige vibao vya usoni ulie kwanza
 
Huo ubongo wako wa kuku upeleke kwa bavicha wenzio!
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Una mental illness....
 
Dah sasa naona hamna shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya huu umbea wa TL.
 
Back
Top Bottom