thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Hii pia fahamu ni kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea kama binge,si holela,Lissu mpaka Leo hakufuata taratibu za matibabu,spika hana namna ya kufanya kinyume na taratibu zilizowekwa na bunge.Mhe. Spika Job Ndugai Unakumbuka haya maneno yako kuhusu Tundu Lissu Leo Yametimia au Baado?
Aisee....Wameamua kumfuta ubunge
Sub woofer anasema hajui alipoWameamua kumfuta ubunge
Wameanza kufa mmoja baada ya mwingine. Mmoja wao kafa leo tarehe 12 august 2019Kamanikweli, basi alaaniwe aliejaribu kumuua.
Tunahitaji watu wenyekuelewa mambo kama Lisu watumie uwezowao kumuunga mkono mwenye nyumba ili taifa lisonge mbelekimaendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo mkuu?Wameanza kufa mmoja baada ya mwingine. Mmoja wao kafa leo tarehe 12 august 2019
Kuna uzi unatembea jukwaa la siasa utaouona, wamemtaja na jina lakeNani huyo mkuu?
Huyo Jamaa aliyekufa Bagamoyo kwa ajali ya gari usikute watu walikuwa kazini,ukipewa kazi kama hizo mwisho wake lazima uwe mbaya,lazima na wewe wakumalize ni sequence and series unajua kinachofuata.Wameanza kufa mmoja baada ya mwingine. Mmoja wao kafa leo tarehe 12 august 2019
Nimeuona mkuuKuna uzi unatembea jukwaa la siasa utaouona, wamemtaja na jina lake
Dah mtu a stage move ya kufaTL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)