DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mhe. Spika Job Ndugai Unakumbuka haya maneno yako kuhusu Tundu Lissu Leo Yametimia au Baado?


Hii pia fahamu ni kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea kama binge,si holela,Lissu mpaka Leo hakufuata taratibu za matibabu,spika hana namna ya kufanya kinyume na taratibu zilizowekwa na bunge.
 
Kuna viongozi wanaroho mbayaaaaa, hawawezi kujificha kwenye kanuni kwa hii dhuluma.
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
Dah mtu a stage move ya kufa


Wewe sio binadamu alooo kuna watu kumbe ni wajinga hivi tzed
 
Huu uzi unanisikitisha pia unanifurahisha

Kweli maombi ya watz yalifanya kazi tulilia sana aisee

Na mungu akatusikia
 
Jamaa angeshuka kwenye gari it could be massively

Yaani ni Mungu tu ....yaani ntazidi kumtukuza Mungu maisha yangu yote kwa kumponya tundu lissu
 
Na bado wamempora ubunge yaani

Aisee ila Mungu yupo

Jamani nyie ndugu wa magufuli mwambieni Mungu yupo

Na mungu hadhihakiwi
 
Ndugai amesema ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ilishaandaa ndege saa 10:30 jioni kwa ajili ya kumchukua mgonjwa na kumpeleka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.

Hata hivyo, amesema baada ya kushauriana na familia na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe waliona ni vyema mgonjwa huo apelekwe katika Hospitali ya Aga Khan, Nairobi.

“Hivyo kwa kushirikiana na ofisi ya Bunge ilipatikana ndege nyingine ya Flying Doctors na kuondoka na mgonjwa saa sita usiku, kuelekea Nairobi,” amesema.









Hafu leo ndugai anakwambia hajui alipo lissu
 
Back
Top Bottom