DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

hakuna mwenye mawazo hayo..bora ungesema majambazi kuliko hii
 
Nimesikia habari ni kweli lissu kapigwa risasi na mbowe kathibitisha kuwa kapigwa risasi nyingi................ mimi ni Mtanzania. Kweli Tanzania tumefikia hali hii. Very sad....
 
Hawa jamaawaliona mbinu hii ndio sahihi hata wao ni wapuuzi sana , Anyway damu ya MTU haiwez kuwaacha salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata tetesi lakini tutarajie habari kamili huko dodoma mchana huu amepigwa risasi na watu wasiojulikana na amekimbizwa hospital na yuko chumba cha upasuaji.
kama ni kweli tumtakie apone haraka
 
Atakufa kwa Mungu kuidhinisha kifo chake, lakini naamini hatakufa kamwe
Naomba upone haraka
Eeeh Mungu muokoe huyu jamaa maana alitutoa gizani kuhusu bombadia
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Mbona unaongea conspiracies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…