Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it dictates.
Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.
Tusubiri