DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa namna risasi nilizozishuhudia kupona ni 10 out of 100
 
NASEMA HIVII


TULIA TULIII
 
just because alikuwa anaipinga serikali haimaanishi ni serikali ndiyo imefanya huo upuuzi....tusitoe conclusion kirahisi namna hiyo kwa ishu sensitive kama hii
 
Waliingia nazo Clouds
Wakamtishia nayo Nape
Wakazipiga hewani kwa Malima
Lissu anapambania pumzi yake hospital kwa sasa.
wajinga kama wewe unaefikia Ku conclude unachokijua wewe kichwani mwako watu wabaya sana nyie
 
damu isiyo na hatia hamwagiki bure. it wil backfire

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Aliwahi kuitaja Gari na vijana yeye anawajua kwa sababu aliwaonya waache kumfuatilia namba alizotaja hakatokea mwenye Gari kukanusha na wala polis hawajalitafuta Gari hili kwa hali hii hata mjinga lazima ahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…