Sasa ile safari yake ya Marekani ndio basi tena, au?
mie sidhani kama watz wanaweza fanya hiki kitu mkuu, watakuwa jamaa wa kule kwa akina amavubhu manake niliwahi ona uzi humu kuwa hawa jamaa wapo kwetu tena kwenye kitengo nyeti, sisi watz hatujafikia hivyo, tunaweza tukawa ni masterplan lakini kufanikisha sie hatuwezi, hatujafika huko mkuu, tunajijua sana watzWatasema nini wakati wanaujua mchongo wote tena sa zingine wao ndo hutumiwa kufanya haya matukio ya political assasinations
Pole Lissu. Nakutakia upone haraka. Bado tunakuhitaji, kwani ukiwepo ukishuhudia watanzania wakijitegemea kweli kweli bila ghiliba za wanyonyaji itakuwa faraja kwa watanzania.Yani wewe vyote ulivyoandika ni pumba tupu, msitupotezee hapa ni system tu ndo inahusika, period.
i am so sad with this news. hata hivyo huwezi kunipangia cha kukoment. nikuulize swali?. unafikri waliomimina risasi mchana kweupe wanamission ngani?. i am telling yuo we are at the point of no return. sijawahi kufikri kama mambo ya ajabu hivi yatakuja kutokea in my own country. comment yangu hata hivyo ilikuwa inawakilisha miaoyo ya wapinga risasi na siyo mawazo yangu.Mods hamuoni hawa wajinga????
Wapeni Ban watupishe na maupuuuzi yao hapa.
La sivyo tutaanza kutifuana na matusi hapa
sikuwahi kudhani kuwa una roho mbaya kiasi hikiKaribuni kwa kuni quote humu..
Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..
Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..
Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.
Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..
Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.
Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.
Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..
Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..
Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.
Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..
Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.
Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.
Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..
Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?
Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.
N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
Hawa ndio wauaji wanapunguza jotosio bure, utakuwa unamjua master plan wa huu mpango, watu wanafanya mambo ka wao wataishi milele
Ya ni Mungu tu anaamuaKwa namna risasi nilizozishuhudia kupona ni 10 out of 100
It is a pity, sidhani kama lisu atapona!Kwa hizo risasi kwenye dirisha la gari yake. Hao walikuwa wamepanga kumuua kabisa
Aliwahi kuitaja Gari na vijana yeye anawajua kwa sababu aliwaonya waache kumfuatilia namba alizotaja hakatokea mwenye Gari kukanusha na wala polis hawajalitafuta Gari hili kwa hali hii hata mjinga lazima ahisi.
Cdm ni chama cha nini sasa, wakati yeye anaingia vikao vyoteI really love Lissu, I love his integrity, lakini nilishangazwa sana na anavyoponda jitihada za kuwazuia waizi wanaotuibia madini.. Hata kama serikali ilikuwa inakosea njia waliyokuwa wanaitumia, he is a Tanzanian, hakuna ulazima wa yeye kuside na wezi wetu..
I'm really sad for Lissu, lakini pia ajue chama alichopo si cha upinzani.. I wish I could speak the truth lakini siwezi, CDM si chama cha Upinzani. Let me end there...
Sent using Jamii Forums mobile app