DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Uchunguzi ufanywe kwa umakini mkubwa ili kuwabaini hawa watu wasiojulikana wenye kutenda haya matendo ya kinyama na ya hovyo kiasi hiki ili tu kuichafua serikali na mh rais na serikali yake.
 
dah tunapo elekea ni kubaya sana tuungane na tusaidieane kabla hatujazama shimoni Mungu amsaidie Mh Lissu

G.O.M.D
 
Ndugu kwa haya yanayotokea lazima tufike mahali tuone yakuwa alichofanyiwa ndugu yetu ni kizuri kama sio Kizuri tujitahidi kuondoa mihemko ambayo mwisho sio mzuri kama taifa lenye umoja uliojengwa kwa muda.

Hivi haya yote yanayifanyika yanafaida kwa nani na kama anaona yanampafaida Je anaamini ya kuwa Mwenyezi Mungu apangiwi muda wa kumwondoa mtu hapa duniani na kama analijua hilo asijisifue kwa jambo analolitenda kwa kila mmoja ataondoka kwa wakati wake.

Mwenyenzi Mungu amponyeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha ila inahitaji tufikiri zaidi, kwanini tufike hapa.
 
Waarabu wanapiganishwa kwa vyanzo kama hivi halafu baadaye tunawaita waarabu wajinga,kikichafuka hapa sio sie tena ni mataifa mengine ndiyo wakati huo watatuona wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti braza..wataalamu wa forensic na forensic zao walisaidia nini pale Ulimboka alivyoshangiliwa....Tatizo lissu ana akili katika taifa la mambumbumbu....atapotea na hakuna kitakachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…