DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
Ukikua utaacha
 
Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
Kama mliweza kumuonyeshea bastola Nape tena mchana adharani mnashindwa nini kumshoot Lisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…