Simba wa teranga
Member
- Aug 5, 2017
- 37
- 23
Mungu amtangulie apone baba yetu lisuTundu Lissu unawindwa sana komrade
Watanzania tumuombee huyu mtanzania mwenzetu aliyetoa maisha yake kuupinga huu utawala wa kinyanyasaji
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe .
Inasikitisha kweli , watu kama hawa sijui wakufanya nnAchaga mambo ya ajabu kwenye uhai wa mtu, siasa zipo tu ila zisikufanye umchukie,
Sent using Jamii Forums mobile app
Akina nani? CHADEMA wanatengeneza movie baada ya kukamatwa vibaya na JPM
Mkuu tutake radhi wana sumbawangaMaalim Seif Kaletewa Waganga Na Wachawi Toka Nigeria Na sumbawanga Wammalize. Tundu Lissu Anasakwa Kwa Mtutu
God knows better .... Where is BenMhusika anajulikana