Chache sana,Hilo eneo zilipopigwa risasi kama kweli zimempata, asilimia za kuishi ni chache sana
Tujiandae kwa habari mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chache sana,Hilo eneo zilipopigwa risasi kama kweli zimempata, asilimia za kuishi ni chache sana
Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!
![]()
![]()
Updates to follow
Karma is a female dog. And life is indeed like a boomerang. Siku yako ipo tu mkuu.Huko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...
but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge
Ficha basi upuuz wako sio lazima ukomenti kila kituHii ni kiki au mpambano wa kugombea Urais 2020 ndani ya chadema...
Inawezekana.Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it dictates.
Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.
Tusubiri
Hahahaha
Mkuu umeangalia matundu ya risasi yalipo kwenye gari lake?Hii ni kiki au mpambano wa kugombea Urais 2020 ndani ya chadema...
Mmmmmh,Bad News get well soon Tundu Lissu
mh!!!wenye chama chao anaotaka kuwazidi umaarufu
Na iwe hivyo apone, Lod have a mercy on him! Mpaka natetemkekahaya mambo ya kutishia mtu kwa riasi ni mambo ya kizamani,maana atatibiwa atapona,
Mtu anastage Kuuawa?!!! Yahitaji moyo kuamini hivyo, kwani maisha ni matamu, asikwambie mtu!Pole sana TL,lkn kwa kitu ninachokijua inawezekana kamanda Lissu akastage hii mambo au alichohaidi watu wa Acacia hajafanikisha
Anatafuta kiki tu huyoWakuu,