General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Basi usijipendekeze kuniqoute hata siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi usijipendekeze kuniqoute hata siku moja
wewe unaweza kustage kupigwa lisasi? watu wengine mnastahili kuishi milembe ndio stahili yenu.Pole sana TL,lkn kwa kitu ninachokijua inawezekana kamanda Lissu akastage hii mambo au alichohaidi watu wa Acacia hajafanikisha
AseeeMungu ndio Mlinzi wake wa kweli maana hawa Wengine ndio watesi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Lumumba leo mtafanya shereheGet well soon Tundu Lissu ....lakini kwenye hili swala sina imani kabisa na Chadema
Mwenye dhamana ya kulinda raia na mali zao ndio anatakiwa asimame kidete sasa ili asije akachafuliwa!Ila jambo moja tufahamu. Unapokuwa na maadui wengi unaweza kudhuriwa na yeyote ila lawama akatupiwa uliyedhani ndiye adui wako
Pole sana TL,lkn kwa kitu ninachokijua inawezekana kamanda Lissu akastage hii mambo au alichohaidi watu wa Acacia hajafanikisha