DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mmeamua mchukue roho yake!!! Hakika hii roho ya kinyama haitawaacha salama walohusika wote . Pambane kwa hoja na sio kutoana roho!!! God Bless Tundu Lisu.[emoji120]
 
Mkuu Dr Magufuli hii inakuharibia kazi nzuri unayofanya. wewe chapa kazi. sasa haya malumbano na Lissu yalikofikia kila mtu atakunyoshea kidole hata kama si wewe Dr
 
Pole sana TL,lkn kwa kitu ninachokijua inawezekana kamanda Lissu akastage hii mambo au alichohaidi watu wa Acacia hajafanikisha
wewe unaweza kustage kupigwa lisasi? watu wengine mnastahili kuishi milembe ndio stahili yenu.
 
Hapana Haiwezekani,tulipofika Nikubaya Sna,hakuna Amani Nchini,
 
Ila jambo moja tufahamu. Unapokuwa na maadui wengi unaweza kudhuriwa na yeyote ila lawama akatupiwa uliyedhani ndiye adui wako
Mwenye dhamana ya kulinda raia na mali zao ndio anatakiwa asimame kidete sasa ili asije akachafuliwa!

Nashukuru kama utanielewa!
 
Niliwahi kusema humu kuwa ulinzi ni mhimu sana kwa watengeneza njia,haaya sasa!
 
Ningekua na uwezo hizi takataka ambazo ukizipeleka dampo zitalichafua zinazo nyesha kufurahishwa na hili tukio baya n kuzifuta kwenye uso wa dunia.
Heri umiliki makaburi ya wapumbavu kuliko kuwa nao wakiwa hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom