alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,197
Niondoe mm tafadhari!Naamini serikali yangu na si wasaliti!Endapo atafariki dunia, italeta shida kubwa kwa serikali kuaminika tena kwa wananchi.
Hali itakuwa mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niondoe mm tafadhari!Naamini serikali yangu na si wasaliti!Endapo atafariki dunia, italeta shida kubwa kwa serikali kuaminika tena kwa wananchi.
Hali itakuwa mbaya
Nyie ndo mnajishuku.
Dola inatumia "mkono wa chuma"..Atakuwa yule aliyemtolea nape bastola
So unafurahia kiaina! Tuchunge kauli zetu why? Majangili tuwaogope kwa kuwa wanaweza. Lissu atapona Mungu atamuepusha na kaburi. ccm my foot. Tutaandika na tutapaaza sauti haki itendeke kama ni ccm basi acha moto uwake.Huu uzi unafatiliwa kwa karibu sana na viongozi wa CCM.
Chungeni sana kauli zenu.