DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

wapi tunaelekea tz haya mambo hatujayazoea mungu nyoosha mkono wako!
 
Get well soon brother! Mwenyezi Mungu akuponye kwani taifa letu bado linakuhitaji sana
 
Tuchu
Huu uzi unafatiliwa kwa karibu sana na viongozi wa CCM.



Chungeni sana kauli zenu.
So unafurahia kiaina! Tuchunge kauli zetu why? Majangili tuwaogope kwa kuwa wanaweza. Lissu atapona Mungu atamuepusha na kaburi. ccm my foot. Tutaandika na tutapaaza sauti haki itendeke kama ni ccm basi acha moto uwake.
 
Back
Top Bottom