DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa hali iliyopo ni vizuri serikali ikampatia Lissu ulinzi..

Maadui zake wanaweza kutumia nafasi hii na mzigo wote ukasukumwa kwenye hoja ya upinzani wake!
Serikali tena?....

-Domhome-
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Huu ni uzi maalum wa maombi kwa kamanda wetu, shuja wetu tundu lissu

Dondosha maombi yako hapa kwa lugha yeyote, ili mrad tu kamanda wetu apone

Mungu ni mwema lissu utapona

Damu ya yesu ikuzunguke kamanda, mateso ya kristo yapunguze maumivu ya risasi juu yako

Sebha akujiwe


LONDON BABY
 
S
Wapi nimemtetea mtu mimi? Nimeonyesha nadharia mbali mbali. Kwanini uhisi ni serikali? TL ana mahusiano mbali mbali na anaweza kutengeneza maadui popote. Inawezekana ni Mabepari wanataka kutengeneza taharuki.
Nia yako mbaya sana kwann ktk maadui wote hukuiweka serikali ktk list yako?
Tunavyojua Adui namba moja wa Lissu ni serikali hii ya awamu ya tano. Ungekuwa mtu mwenye nia njema basi ungewaorodhesha wote ila kwakua nia yako ni ovu ndio iliyokufanya umfiche uchwara wako
 
Ndo maana mimi nilishaamua kuwa mwanaharakati wa tumbo langu tuu. Harakati bongoo! Bongo ukiwa mwizi wa makaratasi unapeta tuu! Unaiba wakistuka wanaunda tume au wanakupiga chini unabaki unapeta kitaa na mademu!
 
You're not alone Mkuu. Many Tanzanians are and some are crying right now for what is going on in our beloved country. Wangemsikiliza Janeth Magufuli nchi yetu ingenusurika na mengi ya huyu nduli na dikteta uchwara. Kwanza kapotea Ben Saanane. Roma naye ilikuwa apotee sasa labda tunampoteza Kamanda Lissu kwa chuki tu za kutisha za kutaka kung'ang'ania madarakani.

Aisee,I'am devastated
 
akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
upload_2017-9-7_15-31-35.png

Risasi zote hizo?
 
Back
Top Bottom