Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Serikali tena?....Kwa hali iliyopo ni vizuri serikali ikampatia Lissu ulinzi..
Maadui zake wanaweza kutumia nafasi hii na mzigo wote ukasukumwa kwenye hoja ya upinzani wake!
-Domhome-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali tena?....Kwa hali iliyopo ni vizuri serikali ikampatia Lissu ulinzi..
Maadui zake wanaweza kutumia nafasi hii na mzigo wote ukasukumwa kwenye hoja ya upinzani wake!
Umaarufu gharama, Lissu anaweza kutengeneza Movie ili azidi kukubalika zaidi ya Lowassa.Hivi huku duniani kuna watu wenye akili mbovo eee sasa wanatengeneza tukio la kupigwa risasi?
Nia yako mbaya sana kwann ktk maadui wote hukuiweka serikali ktk list yako?Wapi nimemtetea mtu mimi? Nimeonyesha nadharia mbali mbali. Kwanini uhisi ni serikali? TL ana mahusiano mbali mbali na anaweza kutengeneza maadui popote. Inawezekana ni Mabepari wanataka kutengeneza taharuki.
Aisee,I'am devastated
akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
Ni kweli mama naona wabunge kwa wingi hapa general Hosp.in taharuki kwa kwelHapana jamani Mungu naomba isiwe kweli jamani sitaki kuamini