Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mhe. Spika Job Ndugai Unakumbuka haya maneno yako kuhusu Tundu Lissu Leo Yametimia au Baado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimlaumu Ndugai kwa sababu ndani ya kichwa chake yupo mtu mwengine anayeamua nini aseme na nini afanye Wakati anapokuwa katika majukumu yake. Huyo mtu anayemuongoza ndugai ndie anapaswa kuulizwa hayo maswali.Kuna watu wanaitwa wahuni lakini sio wahuni kabisa..
Huyu Spika ndio Muhuni sasa.
Kwani soika ana uwezo wa kukumbuka? Hata alishasahau aliwahi kumpiga mtu fimbo ya kichwa mgombea mwenza wa CCM hadi akazimia.. Muulizeni kama anakumbukaMhe. Spika Job Ndugai Unakumbuka haya maneno yako kuhusu Tundu Lissu Leo Yametimia au Baado?
Akileta za kuleta anafukuzwa kwenye chama,anakuwa hana sifa za kuwa mbunge anaukosa uspika,ajira outUsimlaumu Ndugai kwa sababu ndani ya kichwa chake yupo mtu mwengine anayeamua nini aseme na nini afanye Wakati anapokuwa katika majukumu yake. Huyo mtu anayemuongoza ndugai ndie anapaswa kuulizwa hayo maswali.
Mimi najiuliza mtu muhimu na mkuu wa mmoja ya mihimili mitatu unshikiwaje akili wakati hujateuliwa?Usimlaumu Ndugai kwa sababu ndani ya kichwa chake yupo mtu mwengine anayeamua nini aseme na nini afanye Wakati anapokuwa katika majukumu yake. Huyo mtu anayemuongoza ndugai ndie anapaswa kuulizwa hayo maswali.
Shida wala sio Ndungai shida ilipo mnajua ila mnajitoa ufahamu Sioni tatizo ndani ya CCM Ndugai wala msajili tatizo la nchi hii uwa ni katiba na taasisi ya UraisKuna watu wanaitwa wahuni lakini sio wahuni kabisa..
Huyu Spika ndio Muhuni sasa.