DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Si Ndugai tu, Wanaccm waliyowengi ni wanafki hasa kwa matukio kama haya na Misiba..
 
Binadamu tunachotakiwa kuomba kwa Mungu atusaidie ni Ukiwa Msahaulifu basi Tujifunze pia kutokusahau!😎
 
Tena mtu anayemuongoza ndugu yai na wanaccm wengine anatabia ya kutumia midomo yao Kama njia ya kutolea uchafu wake....
 
Usimlaumu Ndugai kwa sababu ndani ya kichwa chake yupo mtu mwengine anayeamua nini aseme na nini afanye Wakati anapokuwa katika majukumu yake. Huyo mtu anayemuongoza ndugai ndie anapaswa kuulizwa hayo maswali.
Akileta za kuleta anafukuzwa kwenye chama,anakuwa hana sifa za kuwa mbunge anaukosa uspika,ajira out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimlaumu Ndugai kwa sababu ndani ya kichwa chake yupo mtu mwengine anayeamua nini aseme na nini afanye Wakati anapokuwa katika majukumu yake. Huyo mtu anayemuongoza ndugai ndie anapaswa kuulizwa hayo maswali.
Mimi najiuliza mtu muhimu na mkuu wa mmoja ya mihimili mitatu unshikiwaje akili wakati hujateuliwa?
 
Kuna watu wanaitwa wahuni lakini sio wahuni kabisa..
Huyu Spika ndio Muhuni sasa.
Shida wala sio Ndungai shida ilipo mnajua ila mnajitoa ufahamu Sioni tatizo ndani ya CCM Ndugai wala msajili tatizo la nchi hii uwa ni katiba na taasisi ya Urais
 
Taarifa za awali alikua nazo, pale tukio lilipotokea...

Ila baada ya hapo hakuna taarifa yoyote iliyopelekewa kuhusu maendeleo yake...

Nadhani wengi humu mnafahamu taratibu za kutoa taarifa kwa muajiri wako kama umeajiriwa... naweza kusikia ulipo au kuona ulipo lakini hujaniletea hizo taarifa official kutoka kwako... nachukulia sijui kitu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom