Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kama Mbowe?Pole pole amerudi nyumbani amelewa, akaficha tv na kuvuruga nyumba kisha akasema kapekuliwa na kuibiwa.....
Polepole hajavamiwa wala nini. Ni kiki tuHeshim na kutii mamlaka
Serikali ya mwenzako unasema ina wahuni
We nani ???
Usishindane na serikali bwashehh
Ova
Nyumbani kwa mbunge ni makazi ya serikali ambayo yana ulinzi mpaka wa CCTV camera
Kipindi cha lisu CCTV camera ziliondolewa je ,kwa polepole hazitaondolewa ?
'What goes around comes back around "
Kumbe anapigaga gitaa pia.Ni bora atoroke aende Belgium.Huko Dom watammalizaHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Shetani hana rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MACCM YANAKULUNA NYAMA.
Hicho ni chombo cha shule ya uongoziNgumu kumeza, sema wamemuibiwa tv yake bhana
Wewe mzima kichwani???Watu anao kwa kweli. Tena ukitokea uchaguzi wa haki leo Samia vs Polepole. Polepole anashinda tena kwa kishindo.
Apambane shubaamiti alikua anawatuma kwa watu wengine sasa wanatumwa kwake zamu yake imefika tusubiri atekwe tu ama apigwe risasi !!!!!! Haya mambo CCM wanayafanya kweupe kabisa halafu walikua wanabishaHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
"What kind of games (are) they playing around?"Hahahaha what kind of game do they playing around?
Kuna yule mwenzie, wakati Tundu Lissu analalamikia ushenzi huo, yeye akadai eti ana UGONJWA WA KUDEKA!Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
View attachment 2041927
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa .
Ngoja tuone mwisho wao utakuwaje
Chanzo : Muungwana Blog
WAHUNIIIII.......WAHUNIIIII...wapoloo wapoloo.......wahuniiii.....wahuniiiiiii.....View attachment 2041927
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa .
Ngoja tuone mwisho wao utakuwaje
Chanzo : Muungwana Blog
Itakuwa lipo walillo kuwa wanalitafuta humo. Huo ni upekuzi
Hapo ndio ujue fisadi wamepanick.😂😂Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847