Kama haikuchafuka wakati watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa kwa ushiriki wa Polepole, na uongozi wa Bashite, itaharibika kwa Polepole kuacha kutandika kitanda chake na kuacha vitu chumbani bila mpangilio?Suala hili litahafua taswira ya nchi.
Polisi Dodoma walishughulikie haraka
Yes walikuwa ni watu wa Magufuli ,alikufa Magufuli lakini wao bado wapoWASIOJULIKANA BADO WAPO TU? Si mlisema walikuwa watu wa Magufuli!!!! This is government intimidation ambayo serikali yenyewe inapaswa kukalipia. Mjibuni Polepole kwa hoja na sio vitisho kwani hayo matendo yenu yanaweza kuja kuwarudia na nyinyi pia kama yanavyomrudia Polepole!!! You should learn by now that there is nothing that is permanent!!!
Alikuwa anatunga mwimbo wa 'Unajua Mavieitee wewee!!☆Pole pole kumbe ni mpiga gitaa?
Kwa hali iliyopo sasa hivi huwezi kamwe kumbishia huyo juu ya hilo.Wewe mzima kichwani???
Kiroboto analala kwenye kigodoro icho apo chiniHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Hana sababu ya kuiacha huko.Hata ka Luger A5341 hakakupatikana humo?
Hili ni tatizo la kitaifa, siyo yeye tu utakuta mtu ni mwana habari kabisa ila anaandika dhamani badala ya thamani, dhibitisha badala ya thibitisha. Inakera na inachefua kwakweliDhamani [emoji777]
Thamani [emoji3581]
Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Najua huna akili nzuri, yaani wewe ukiwekewa POLEPOLE MBELE YA MAMA SAMIA UNAMCHAGUA CHAKUBANGA?Kwa hali iliyopo sasa hivi huwezi kamwe kumbishia huyo juu ya hilo.
Popole, au mtu mwingine yeyote, wakipewa nafasi ya kugombea katika uwanja ulio sawa, bila ya polisi, tume chafuzi na mengineyo; pamoja na kutomkubali Popole, siwezi kudai kuwa hawezi kumwangusha huyu mama.
Na ujuwe ninazo akili timamu kabisa, pengine kukuzidi wewe chawa.
Stage-managed
"What kind of games do people play""What kind of games (are) they playing around?"
Umeelewa mkuu?
Kweni amelawitiwa?Wahuni siyo watu wazuri
Nchi inahitaji catalyst tu lakini hata CCM wamechoka CCM.CCM wako pazuri kuelekea hatima yao.
Sina uhakikaKweni amelawitiwa?
Imekutwa KY kwenye chumba Cha jamaaKweni amelawitiwa?
Kabisa mkuu.Unalofanya Leo litakurudia kesho. ndicho kinachomtokea polepole. Kilichomfanya Lisu kupigwa risasi ni hoja.polepole yeye anasema ajibiwe kwa hoja mbona Lisu walimjibu kwa Risasi?. Ushauri kwa polepole. Sikia polepole nchi hii haitaki watu wakweli na unalijua Hilo hata unajua Lisu alipigwa risasi na kina nani sababu ya ukweli na ulifurahia.Ni hao wasiotaka ukweli na unawajua. Lisu alisema wakitumaliza sisi watakuja kwenu na wamefika kwako chagua moja udhulike au unyamaze uwe salama. Hao mashetani kabisa. Ila MUNGU AKULINDE NA KUKUPONYA. Toka usaliti katiba sipo upande wako Ila sipendi mwanadamu kuumizwa.Karma is a bitch .
Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanaopigwa risasi anaona poa .
Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,bila shaka kwa mda huu akili zinaanza kumkaa