Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dhamani [emoji777]

Thamani [emoji3581]

Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
sisi matabibu wa lugha tuna msemo wetu
"kosa moja la kiuandishi kati ya maneno elfu moja halivumiliki"
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa

View attachment 2041847

Pole pole kumbe ni mpiga gitaa?
Huhuuh.... ila huu mchezo ni funika michongo flani hivi! Vijana wa diwani wapo smart bhana!!!
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa

View attachment 2041847
Wamnyooshe tuu kwa nini wanamchekea? Sio sahihi kuleta demokrasia kwa wajinga .Wajinga wanaenda kwa mijeredi .
 
Upambe nuksi sana na hapa inabidi tujifunze kitu mama Samia hawezi kutuma watu kufanya upuuzi wa aina hiyo.

Ata kwa Magufuli ilikuwa ivyo ivyo mambo mengine ni wapambe tu; hawa watu ogopa.

Magufuli ndio aliyesimika siasa hizo za kishenzi, na Polepole akabariki uhayawani ule. Acha aonyeshwe makali ya siasa za kishenzi na washenzi wenzake.
 
Back
Top Bottom