Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Kwahiyo Lisu amepata wafuasi milion 80 kama wale aliopata baada ya kihojiwa hardtalk ya bbc?
Wenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .

Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
 
Usipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu
Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.
 
Kauli mbiu ya Uhuru, haki, na maendeleo ya watu inawaingia watz taratiiiibu kufika 0oct. 28 nchi itazizima

Mi binafsi Kama mjasiliamali nimemwelewa Lisu Kura yangu atazipata asubuhi mapema,

TRA, Sumatra, Trafic Sasa baasi
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuchagua kilicho bora
 
wenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .

Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
Ha haa haaa
 
Uongo mtakatifu kabisa. mimi nipo Dodoma mbona sijaona hizo pilikapilika za maandamano. Kwanza, hakuna bendera hata moja za Chadema mji mzima umejaa bendera za CCM. Halafu nahisi uchaguzi huu Chadema hata pesa ya kununulia bendera hamna.
 
Back
Top Bottom