Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.
Pesa ya kumsomesha mwanae elimu bure kuwa inatokana na hizo ndege Hilo nalo haiwezi Elewa?
 
wenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .

Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
Na mimi nimewaza hivyo hivyo kuwa sooner or later ITV wataundiwa zengwe
 
Na mimi nimewaza hivyo hivyo kuwa sooner or later ITV wataundiwa zengwe
Wawafungie kwa Lipi? Lisu aliongea vitu vya kawaida vya chini vilivyo below sea level. Wala hakuongea chochote kizito
 
Back
Top Bottom