Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Huo mkutano Chadema mumemuonea Nyalandu. Mbona wagombea wengine wa kilimanjaro mikutano ya Lisu mlifanyia kwenye majimbo yao ku wa boost kwa wapiga kura wao mfano ni kwa Mrema Segerea,kwa Halima Mdee kawe na kwa Godbless Lema Arusha.
Kwa nini mfanyie Dodoma mjini na si jimboni kwa Nyalandu? Roho mbaya na ukabila
 
Pesa ya kumsomesha mwanae elimu bure kuwa inatokana na hizo ndege Hilo nalo haiwezi Elewa?
Bure ? Kumsaidia mtu kulipa elfu ishirini alafu kumyima mkopo (key word mkopo sio grant) ya kuanzia milioni mbili ili asome chuo ni bure ya aina gani ?, au neno bure limebadilika siku hizi.

Mbili serikali inatoa pesa wapi (hizo ni kodi za hao hao watu ndio inabidi zipangiwe matumizi kuhakikisha watu wanapata mahitaji yao); kwahio hio Bure sijui inatafsiliwa vipi (ukweli ni kwamba kodi zetu zingetumika vizuri huenda kila mtu angepata fursa ya ufunguo wa maisha AKA Elimu)
 
Huo mkutano Chadema mumemuonea Nyalandu. Mbona wagombea wengine wa kilimanjaro mikutano ya Lisu mlifanyia kwenye majimbo yao ku wa boost kwa wapiga kura wao mfano ni kwa Mrema Segerea,kwa Halima Mdee kawe na kwa Godbless Lema Arusha.
Kwa nini mfanyie Dodoma mjini na si jimboni kwa Nyalandu? Roho mbaya na ukabila
Naona unatafuta ya kubuni angalau uhalalishe buku 7,Wewe ratiba ya CHADEMA UNAIJUA,YAKUWASHIANI!
 
Mkuu hufatilii taarifa zao!

Hii ni awamu ya kwanza ambapo wanazindua kampeni kwa kuzungukia kanda zao. Then baada ya hapo ndo wataanza kwa kila jimbo kimtawanyiko
Kwa hiyo hao watu tunaowaona ambao ni wachache sana kumbe wametoka mikoa yote iliyoko kwenye kanda husika aisee mbona wachache aibu loo
 
FB_IMG_1599206948410.jpg

Molemo hii iwekwe pale juu ili inogeshe uzi
 
Back
Top Bottom