Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .Kwahiyo Lisu amepata wafuasi milion 80 kama wale aliopata baada ya kihojiwa hardtalk ya bbc?
Chukua chai unywe usijekosa hamu ya kula bureAibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
Kishaanza kucheza SingeliUsipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu
Dodoma ipi hiyo? Maana mimi nipo hapa mjini kati sijaona, Labda kama bado maana naona kila kitu cha kawaida? SIJUI LABDA BAADAYE, ngoja niendelee kuvuta SUBIRA.Dodoma Imezizima haswaaaaa!!!!!
Mji mzima umesimama kumsubiri Lissu.
Hakika ni yeye
Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.Usipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu
Mfuatilie mzee wetu RungweMsosi upo?
Cdm haijawahi kufeli popote, siyo kama ccm inayo tembelea nyota ya waimba taarabu na bongo fleva ( wafuga free masons)Aibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
Hiyo ndiyo cdm inayo wanyima usingizi ccm iliyo mahututi
Kumbe ndiyo maana jiwe aliamua kukimbia hapo mjini? [emoji23][emoji23][emoji23]Dodoma Imezizima haswaaaaa!!!!!
Mji mzima umesimama kumsubiri Lissu.
Hakika ni yeye
Anakubalika na wasomi na wasiyo wasomiHuyu jamaa kampeni zake anafanyia mijini pekee
Jiwe anakubalika sana na wafuga free masonsKwahiyo Lisu amepata wafuasi milion 80 kama wale aliopata baada ya kihojiwa hardtalk ya bbc?
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuchagua kilicho boraKauli mbiu ya Uhuru, haki, na maendeleo ya watu inawaingia watz taratiiiibu kufika 0oct. 28 nchi itazizima
Mi binafsi Kama mjasiliamali nimemwelewa Lisu Kura yangu atazipata asubuhi mapema,
TRA, Sumatra, Trafic Sasa baasi
Ha haa haaawenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .
Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
😨😨😨😨We are waiting to hear from; and listen to this charismatic leader
Hakuna mwingineNI YEYE [emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji179][emoji179]
Ubwabwa wake anaweka chumvi nyingi mnoMfuatilie mzee wetu Rungwe