Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Hakuna lolote jipya Chadema itakalofanya kwa watanzania. Saccos yenye kuongozwa na kakikundi cha watu, walafi wa madaraka halafu tuwape mama Tanzania 🇹🇿 hapana. Safari hii mtapata aibu ya mwaka, tangia Chadema izaliwe ili iwe funzo.
 
Nw you talk, nisamehe mkuu, kumbe wewe ni mwenzangu uliejificha! Nimefarijika hapo uliposema ' Meko sasahivi anatia huruma, analialia nae apewe miaka kumi( 10 ).'
 
Mkuu hufatilii taarifa zao!

Hii ni awamu ya kwanza ambapo wanazindua kampeni kwa kuzungukia kanda zao. Then baada ya hapo ndo wataanza kwa kila jimbo kimtawanyiko
Ungemuwacha aendelee kuidanganya nafsi yake
 
Nw you talk, nisamehe mkuu, kumbe wewe ni mwenzangu uliejificha! Nimefarijika hapo uliposema ' Meko sasahivi anatia huruma, analialia nae apewe miaka kumi( 10 ).'
Alishasema yeye ni kichaa, nani atakubali kumpa kichaa rungu jipya ?
 
Kwa hiyo hao watu tunaowaona ambao ni wachache sana kumbe wametoka mikoa yote iliyoko kwenye kanda husika aisee mbona wachache aibu loo
Mtaishiwa hata la kusema safari hii
 
Shida ni kama vyombo vya habari vimefungwa speed governor kwenye suala la kuripoti mikutano ya upinzani makini hivyo kupelekea opposition kuwa na mlima mkubwa kupanda kinachowapa nguvu ni umma watu wengi tunataka mabadiliko na pesa mtaani irudi
 
Kwanilivyo mfuatilia jana kweli lissu ni mtu sahihi kuwa rais maana rais muangalie anavyo ongea sio kama malaika mfagiaji mara mkubwa wa malaika mara mm ni jiwe
 
Usipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu
Jana nili
Rungwe yuko wapi? Mbona anatufanyia hivi wafuasi wake?
Halafu mimi niko na njaa ya ubwabwa
 
Yeaaaah ni YEYE charismatic leader .[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Jana nili
Halafu mimi niko na njaa ya ubwabwa
Maraisi wa safari hii ahadi zao kiboko, kuna mmoja kahaidi kuhalalisha Ushoga, mwingine kahaidi kutoa Ubwabwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…