vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 615
Hahaaaaa unajipa ujiko, au sio?...Afrika tunao wasomi ila wenye akili wachache mno tuliobaki nikiwemo MIMI
Hahahaaa. Hata Hashimu Rungwe kura yake atajipa yeye.hahaaaaa unajipa ujiko, au sio?...
Hii point safi sana...huwezi kuleta mfumo wa utawala wenye mazingira tofauti, tamaduni tofauti mtindo wa Maisha tofauti , halafu eti uwe global ni Upuuzi.
Dunia inaenda kasi ajabuHii point safi sana...
Kasi ya 4G+Dunia inaenda kasi ajabu
Tena ni ajabu saaana. Supersonic Speed.Dunia inaenda kasi ajabu
JPM na CCM yake oooyeeeeeeeKama nimekosea ninaomba unisahihishe. How was I supposed to put it?
Unamkumbuka jina lake huyo mtu?...Kuna mtu alisema “Africa is no place for Democracy”
Unamkumbuka jina lake huyo mtu?...
Huyu mwingine ndio nani mkuu?mwingine akasema “we can apply it (democracy) but not down to the latter “
wote hao walikuwa marais
Huyu mwingine ndio nani mkuu?
Huyu wajina wako hahahaaaaaMobutu sese seko
Rais Magufuli tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo ya ufanisi na utendaji kazi bora.Huyu wajina wako hahahaaaaa
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Magufuli na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.Huyu wajina wako hahahaaaaa
Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya ccm!Huyu wajina wako hahahaaaaa
Nimeona na daraja letu la kigamboni,hongera Magufuli.Huyu wajina wako hahahaaaaa