Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
NEED👇. WANT👉
2e6525f589b9e2f4affa65b1483fb59a.jpg


Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
 
🤣🤣
Akipiga visungura anaanzisha hata nyuzi 5 kwa mpigo kama analipwa vile katika majukwaa mbalimbali .

Halafu ukitaka kujua kama ni Visungura vimepanda kichwani jamaa nyuzi zake zote wakati huo zinakuwa za kipimbi na hazina maelezo ni picha tu , au heading ndefu na maneno matatu tu .
 
Back
Top Bottom