Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

Ko hukuona kitu kingine cha kumuelewesha, ila ni hiyo picha??
Duuh hatarii.
 
Mwenyezi Mungu aniepushe nikifika umri wa uzee kama mleta mada nisiwe nawaza ujinga kiasi hiki , ni hasara kubwa kwa hakika .

Imagine watoto wako na wajukuu wanashika simu yako wanakuta babu yao Kasongo anaandika ujinga Jf .
Hilo ***** bwabwa ELI COHEN naona limeanza kukutongoza, linatafuta mabasha kinguvu, nimepelipelekea moto linataka kupandwa, na kila mtu
 
I really do enjoy this guys🤣

Sasa hivi adriz akiitww mtaani yaaani adriiiiiiiiz atakuwa akikumbuka sauti yangu inasema kineeeembbbbbbxx.
🤣🤣

Chivundu secretarybird Seran good night guys, kuna maisha zaidi ya JF🤣
Hizo ndio akili za masikini na visungura .

Mtu niache kuwaza mambo ya maana niwaze ujinga wa mtu Jf ? kwa vile wewe huna mambo ya msingi ya kuwaza Wala kazi ya maana ndio maana mambo ya Jf unayachukulia siriazi na personal mpaka kwenye real life ..

Ukitaka kujua kuwa akili zako za visungura , unejuaje kama mtaani natumia jina la Adriz ? wakati hili jina nimelitunga kwa ajili ya Jf pekee ?

Haujui kuwa karibia asilimia 95% ya wana Jf hawatumii majina yao ya Jf mtaani hata kwenye mitandao mengine ? Visungura vibaya sana 😂
 
Punga hilo linaishi kwa shemeji, liko humu masaa 24 na kitecno alikonunuliwa shemeji
 
Back
Top Bottom