Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
Duh !Visungura sio chai , jamaa tayari kawa intoxicated vitu vishapanda kwenye Cohen yake
Duh !Visungura sio chai , jamaa tayari kawa intoxicated vitu vishapanda kwenye Cohen yake
You guys need a therapist! Mpaka hapa sielewi nani ako na shida na mwenzie🙌🏾Visungura sio chai , jamaa tayari kawa intoxicated vitu vishapanda kwenye Cohen yake
Wahuni wamechafukwa sana 😂 😆mods wanakazi
Tatizo watu wanasifia kinafki hasa wadada, utasikia "umependeza shoo" , na yeye bichwa linajaa anaona kapendeza kweli lina jiexpose kwa umma.Wameshakuwa lundo mtu akiamka tu anaona wenzie wako uchi hataki kupitwa na yeye anaachia upumbavu wake tuuone!
Nakwambia, yamekuwa mengi kinoma! Halafu shetani anawasifia wako sahihi! Hata kama uliumbwa hivyo ndio utuchumie dhambi loh🤭Tatizo watu wanasifia kinafki hasa wadada, utasikia "umependeza shoo" , na yeye bichwa linajaa anaona kapendeza kweli lina jiexpose kwa umma.
duhWahuni wamechafukwa sana 😂 😆
member wamecharuka nashangaa mtu ana verified anatukana sio mchezo sijui ulevi !mods wanakazi
Tatizo watu wanasifia kinafki hasa wadada, utasikia "umependeza shoo" , na yeye bichwa linajaa anaona kapendeza kweli lina jiexpose kwa umma.
😂😂😂😂😂😂Visungura vibaya sana , ukinywa visungura idea ya Uzi wowote ikukujia kichwani unatapika tu
Mods waliangalie hili, ile Jf ya heshima inazidi kupotea siku hizi nyuzi nyingi watu wanatukana wazi tena matusi makubwa sana bila uwoga yaani full fujoduh
watu wa jf wana matusi kuliko wa mitaani
Tena matusi new model ukitukanwa unashtuka utazani umepewa cheo !duh
watu wa jf wana matusi kuliko wa mitaani
Si ndio hivyo mnasema, utasikia "umependeza shoo" hata kama mtu kachukiza😅was shoo necessary???🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh huo mtindi 🙌
umenichekesha sanaSi ndio hivyo mnasema, utasikia "umependeza shoo" hata kama mtu kachukiza😅
jesuss !!!Duh huo mtindi 🙌
Hii ndo inafaa kwa ajili ya titsjob 😎
Usiku mwema mkuu.I really do enjoy this guys🤣
Sasa hivi adriz akiitww mtaani yaaani adriiiiiiiiz atakuwa akikumbuka sauti yangu inasema kineeeembbbbbbxx.
🤣🤣
Chivundu secretarybird Seran good night guys, kuna maisha zaidi ya JF🤣
naona sio kitu chema kutukanana namna hiiTena matusi new model ukitukanwa unashtuka utazani umepewa cheo !