Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

C60872F7-5C59-4AAF-955D-15D01E0D4524.jpeg

Ila Mbaga Jr mnaniudhi we na huyo kimwana wako basi tu😏
 
Mimi napinga Matumizi ya mihadarati wakati wa kuingia Jf .

Maghayo Busu la Kenge alikuwa anaingia kichwa kikiwa full Mabange, ugomvi ukaanzia hapo .

Kaka yako kasongo yeye anaingia Jf baada ya kupiga visungura, hapo ndio ugomvi ukaanza
Haipendezi watoto wa kiume kuwa hivi..
 
Haipendezi watoto wa kiume kuwa hivi..
Naunga mkono hoja , haipendezi kwa Mwanaume halafu mtu akiwa jitu zima kama Kaka yako

Mimi napinga uhuni ndio maana nimekuwa hivi sina kawaida ya kuAttack watu wastaarabu na innocent, kaka yako EliNyahu ELI COHEN anaAtaack na kudhalilisha mpaka wanawake humu kitu ambacho mimi siwezi .

Mhusie Kaka yako maana yeye tabia yake kubwa maogomvi ya kijinga na members wengine, Mimi nikiona member mkorofi haswa anaAttack mpaka wanawake basi naruka nae sababu Mimi natetea Wanyonge na Wanawake .
 
Naunga mkono hoja , haipendezi kwa Mwanaume halafu mtu akiwa jitu zima kama Kaka yako

Mimi napinga uhuni ndio maana nimekuwa hivi sina kawaida ya kuAttack watu wastaarabu na innocent, kaka yako EliNyahu ELI COHEN anaAtaack na kudhalilisha mpaka wanawake humu kitu ambacho mimi siwezi .

Muhusie Kaka yako maana yeye tabia yake kubwa maogomvi ya kijinga na members wengine, Mimi niliona member mkorofi haswa anaAttack mpaka wanawake basi naruka nae sababu Mimi natetea Wanyonge na Wanawake .
Kumbe ana attack na wanawake?🫢
Sijawahi kufahamu hili kaka ELI COHEN hebu vita viishe jamani nakusihi..
 
Kumbe ana attack na wanawake?🫢
Sijawahi kufahamu hili kaka ELI COHEN hebu vita viishe jamani nakusihi..
Anashambulia mpaka wanawake Jf wakati Wanawake ni wachache humu , yeye anataka waondoke tubaki na kina Maghayo , Busu la Kenge muhuni secretarybird ndio afurahi

Mimi kama Chief General siwezi kuvumilia hali hii , jamaa visungura vinampeleka vibaya lazima tumrudishe kwenye njia ya sawa
 
Back
Top Bottom