Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Exchange rate ni stable kwa kipindi kirefu sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninauhuru wakuwaza Mimi Kama Mimi sio kamawewe... mbona unaruka Kama nmekupapasa kalio?Una akili za kuku wewe na waliokuzaa sisi usituhusishe maana tunamwelewa Sana mama.
Unavyopayuka utadhani unajua hata uchumi kumbe umejaa uharo wa Mwendazake kichwani kwako.
Acha kupotosha watu weweTayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500
Commercial bank ipi ni 2450 hadi 2500? Leta ushahidi mimi nimekuwekea baadhi ya commercial bank ili nikuonyeshe unachosema ni uongo na upotoshajiTayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500
Teteeni mnavyoweza lkn nidhahiri tunaanguka kiuchumi. Export inashuka, tunaagiza Sana nje,mitaji inatoka kuliko kuingia na nchi yamwanamama huhofiwa no wawekezaji smart hasa kuhusu usalama na uimara wa serikali ke... Angelia na ujifunze!!Umefanya utafiti hiyo dollar miezi mi5 sasa inacheza 2309 na 2310 sasa rais ameingiliaje au rais anahusikaje ...
Leta takwimu sio unaandika bila takwimu tu, mambo ya uchumi ni numbers na hazijifichi kwa hiyo leta tuone hapaTeteeni mnavyoweza lkn nidhahiri tunaanguka kiuchumi. Export inashuka, tunaagiza Sana nje,mitaji inatoka kuliko kuingia na nchi yamwanamama huhofiwa no wawekezaji smart hasa kuhusu usalama na uimara wa serikali ke... Angelia na ujifunze!!
Utakuwa ccm wewe, dola kupanda dhidi ya shilingi na si vinginevyo, hii inaonyesha shilingi yetu imeshuka thamanisasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Je, waweza kuweka ushahidi juu ya hii claim yako? Tena ka graph katasaidia sana hapa!sasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Labda huyo ni Waziri wa fedha!Utakuwa ccm wewe, dola kupanda dhidi ya shilingi na si vinginevyo, hii inaonyesha shilingi yetu imeshuka thamani
Takwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazunguLeta takwimu sio unaandika bila takwimu tu, mambo ya uchumi ni numbers na hazijifichi kwa hiyo leta tuone hapa
Tuseme kwa rate ya 2280 ulikuwa na uwezo wa kupata vijidola vyako 5 sawa na sh 11,400 au siyo? Swali je ukiwa na hiyo hiyo 11,400 kwa rate mpya ya 2310 utapata vidola vingapi?We kweli kimeo.
Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Takwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazungu
nijibu haya sasa:
-mafuta petrol nighali kuliko nchi jirani zisizo nabahari kwanini?
-mafuta yakula nayo pia,sukari vilevile
-gharama za umeme juu
-gharama za simu juu
-usafiri wa ndege juu kuliko wenzetu
-masoko maalumu ya mazao hatuna
-export ya mf. maua nikama imekufa why?
-zao gaming tunaexport vizuri?
-bidhaa gani tunaexport vyema?
-purchasing power ikochini hulioni?
-riba za mabank ni zakuumiza, hujui!?
-elimu yetu nidhaifu hujui?
Utanichosha jifunze kujifunza mkuu pia tembelea nchi hata jirani unoe akili
Nchi ni burundi na Zambia, zambia wanatumia bomba la tazama na bomba la kutokea angolaTakwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazungu
nijibu haya sasa:
-mafuta petrol nighali kuliko nchi jirani zisizo nabahari kwanini?
-mafuta yakula nayo pia,sukari vilevile
-gharama za umeme juu
-gharama za simu juu
-usafiri wa ndege juu kuliko wenzetu
-masoko maalumu ya mazao hatuna
-export ya mf. maua nikama imekufa why?
-zao gaming tunaexport vizuri?
-bidhaa gani tunaexport vyema?
-purchasing power ikochini hulioni?
-riba za mabank ni zakuumiza, hujui!?
-elimu yetu nidhaifu hujui?
Utanichosha jifunze kujifunza mkuu pia tembelea nchi hata jirani unoe akili
unajibu kisiasa/propaganda bro. Sijaona wewe ukitoa numbers... unadai tuu! hahahaha zitafute utajioneaNchi ni burundi na Zambia, zambia wanatumia bomba la tazama na bomba la kutokea angola
Mafuta ya kula hatuzalishi tunaagiza kutoka nje, kutokana na uzalishaji kupungua kutokana na janga la corona hivyo mafuta yapikua machache na watumiaji walipungua, watu wamerudi kwenye shughuli zao na uhitaji umekua mwingi uzalishaji ndio unaanza tena, DEMAND ni kubwa kuliko SUPPLY hivyo biashara ni ubepari basi bei wamepandisha
Mkakati wa serikali ni kupitia zao la alizeti ili tuwe tunazalisha wenyewe na mkakati umeshazinduliwa
Ukisema gharama juu sema hii shillingi kadhaa ukilinganisha na nchi jirani kiasi kadhaa na sio kuandika bila takweimu, mambo ya uchumi ni numbers
Usafiri uko juu kivipi leta namba kwamba wenzetu ni bei hii na sisi ni bei hii
Usiseme nikama imekufa inatakiwa ulete ushahidi wa kwamba nikama umekufa kwa takwimu za export wa hayo maua
TAKWIMU ni muhimu huyo mwenzako aliyeanzisha hii thread kasema dollar imepanda ila hajaleta takwimu za zamani na ameshajulikana ni muongo, UCHUMI ni NAMBA, leta namba ili tukuamini wewe unayesema uchumi umeporomoka
Je, waweza kuweka ushahidi juu ya hii claim yako? Tena ka graph katasaidia sana hapa!
Kwa bei zetu mtaani ilikuwa 2319 sasa hapo sielewi imepanda kivuko au imepanda kitu gani!We kweli kimeo.
Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Utakuwa ccm wewe, dola kupanda dhidi ya shilingi na si vinginevyo, hii inaonyesha shilingi yetu imeshuka thamani