Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Una akili za kuku wewe na waliokuzaa sisi usituhusishe maana tunamwelewa Sana mama.

Unavyopayuka utadhani unajua hata uchumi kumbe umejaa uharo wa Mwendazake kichwani kwako.
Ninauhuru wakuwaza Mimi Kama Mimi sio kamawewe... mbona unaruka Kama nmekupapasa kalio?

Utakuwa unaliwaga na Jini mahaba wewe ndomana unamawazo yakikuzimu kuzimu!!!
 
Tayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500
Acha kupotosha watu wewe
 
Tayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500
Commercial bank ipi ni 2450 hadi 2500? Leta ushahidi mimi nimekuwekea baadhi ya commercial bank ili nikuonyeshe unachosema ni uongo na upotoshaji
Screenshot_20210827-070228_Office.jpg
Screenshot_20210827-070306_Samsung Internet.jpg
 
we jamaa unaishi tanzania ipi? unajua mzigo ulikua unaaproach 2500 kipindi flani hapa!
 
Umefanya utafiti hiyo dollar miezi mi5 sasa inacheza 2309 na 2310 sasa rais ameingiliaje au rais anahusikaje ...
Teteeni mnavyoweza lkn nidhahiri tunaanguka kiuchumi. Export inashuka, tunaagiza Sana nje,mitaji inatoka kuliko kuingia na nchi yamwanamama huhofiwa no wawekezaji smart hasa kuhusu usalama na uimara wa serikali ke... Angelia na ujifunze!!
 
Leta takwimu sio unaandika bila takwimu tu, mambo ya uchumi ni numbers na hazijifichi kwa hiyo leta tuone hapa
 
Inasikitisha sana jitu limening'iniza tai zenye rangi za bendera ya taifa lakini kichwani kumejaa kabeji
 
sasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Utakuwa ccm wewe, dola kupanda dhidi ya shilingi na si vinginevyo, hii inaonyesha shilingi yetu imeshuka thamani
 
Je, waweza kuweka ushahidi juu ya hii claim yako? Tena ka graph katasaidia sana hapa!
 
Leta takwimu sio unaandika bila takwimu tu, mambo ya uchumi ni numbers na hazijifichi kwa hiyo leta tuone hapa
Takwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazungu
nijibu haya sasa:
-mafuta petrol nighali kuliko nchi jirani zisizo nabahari kwanini?
-mafuta yakula nayo pia,sukari vilevile
-gharama za umeme juu
-gharama za simu juu
-usafiri wa ndege juu kuliko wenzetu
-masoko maalumu ya mazao hatuna
-export ya mf. maua nikama imekufa why?
-zao gaming tunaexport vizuri?
-bidhaa gani tunaexport vyema?
-purchasing power ikochini hulioni?
-riba za mabank ni zakuumiza, hujui!?
-elimu yetu nidhaifu hujui?
Utanichosha jifunze kujifunza mkuu pia tembelea nchi hata jirani unoe akili
 
We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Tuseme kwa rate ya 2280 ulikuwa na uwezo wa kupata vijidola vyako 5 sawa na sh 11,400 au siyo? Swali je ukiwa na hiyo hiyo 11,400 kwa rate mpya ya 2310 utapata vidola vingapi?
 
Takwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazungu
nijibu haya sasa:
-mafuta petrol nighali kuliko nchi jirani zisizo nabahari kwanini?
-mafuta yakula nayo pia,sukari vilevile
-gharama za umeme juu
-gharama za simu juu
-usafiri wa ndege juu kuliko wenzetu
-masoko maalumu ya mazao hatuna
-export ya mf. maua nikama imekufa why?
-zao gaming tunaexport vizuri?
-bidhaa gani tunaexport vyema?
-purchasing power ikochini hulioni?
-riba za mabank ni zakuumiza, hujui!?
-elimu yetu nidhaifu hujui?
Utanichosha jifunze kujifunza mkuu pia tembelea nchi hata jirani unoe akili
Takwimu zipi unataka bosi,mnasoma Sana mnaacha uhalisia! Vitu vikowazi unahoji manana mmesoma vitabu vyawazungu
nijibu haya sasa:
-mafuta petrol nighali kuliko nchi jirani zisizo nabahari kwanini?
-mafuta yakula nayo pia,sukari vilevile
-gharama za umeme juu
-gharama za simu juu
-usafiri wa ndege juu kuliko wenzetu
-masoko maalumu ya mazao hatuna
-export ya mf. maua nikama imekufa why?
-zao gaming tunaexport vizuri?
-bidhaa gani tunaexport vyema?
-purchasing power ikochini hulioni?
-riba za mabank ni zakuumiza, hujui!?
-elimu yetu nidhaifu hujui?
Utanichosha jifunze kujifunza mkuu pia tembelea nchi hata jirani unoe akili
Nchi ni burundi na Zambia, zambia wanatumia bomba la tazama na bomba la kutokea angola

Mafuta ya kula hatuzalishi tunaagiza kutoka nje, kutokana na uzalishaji kupungua kutokana na janga la corona hivyo mafuta yapikua machache na watumiaji walipungua, watu wamerudi kwenye shughuli zao na uhitaji umekua mwingi uzalishaji ndio unaanza tena, DEMAND ni kubwa kuliko SUPPLY hivyo biashara ni ubepari basi bei wamepandisha

Mkakati wa serikali ni kupitia zao la alizeti ili tuwe tunazalisha wenyewe na mkakati umeshazinduliwa

Ukisema gharama juu sema hii shillingi kadhaa ukilinganisha na nchi jirani kiasi kadhaa na sio kuandika bila takweimu, mambo ya uchumi ni numbers

Usafiri uko juu kivipi leta namba kwamba wenzetu ni bei hii na sisi ni bei hii

Usiseme nikama imekufa inatakiwa ulete ushahidi wa kwamba nikama umekufa kwa takwimu za export wa hayo maua

TAKWIMU ni muhimu huyo mwenzako aliyeanzisha hii thread kasema dollar imepanda ila hajaleta takwimu za zamani na ameshajulikana ni muongo, UCHUMI ni NAMBA, leta namba ili tukuamini wewe unayesema uchumi umeporomoka
 
unajibu kisiasa/propaganda bro. Sijaona wewe ukitoa numbers... unadai tuu! hahahaha zitafute utajionea
 
Je, waweza kuweka ushahidi juu ya hii claim yako? Tena ka graph katasaidia sana hapa!

graph ya nn? kwahio tsh ikiongezeka value means marekani uchumi umeyumba? rwanda na tanzania nani ana hela yenye nguvu? nani ana uchumi mkubwa? nigeria na kenya nani ana hela yenye nguvu? nani ana uchumi mkubwa? what do you need graphs for?
 
We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Kwa bei zetu mtaani ilikuwa 2319 sasa hapo sielewi imepanda kivuko au imepanda kitu gani!

Bureau de change zote zinachezea humo
 
Utakuwa ccm wewe, dola kupanda dhidi ya shilingi na si vinginevyo, hii inaonyesha shilingi yetu imeshuka thamani

mdogo wangu dola haina uhusiano wa moja kwa moja na tsh, zote unazoskia exchange rate ni utapeli na kufanya biashara, kwa maaana fupi naamua kukuzia kwa kiasi gan mm apa kutokana na uhitajikaji wake! lakini dola ikipanda thamani kuna uwezekano ikawa ni kutokana na policy flan zilizoonngeza thaman kwenye dola ama uhitaji wake umeongezeka irrespective in tanzania shillings! lakini pia kuna uwezekano tsh haijasogea kithamani lakini haina uhusiano wowote na uchumi! chukulia mfano wa rwanda na tanzania nani ana hela yenye nguvu na nani uchumi wake ni mkubwa? au kenya na nigeria
 
Back
Top Bottom