Ili bank iweze kuuza dollar ni lazima ipate mtu anaeuza dollar inunue kwake ndio iweze kuuza so haijalishi hiyo hela ni hard cash or not so kinachotokea saiv ni kwamba dollar zinakuja kwa kiasi kidogo na wakati importation ni kubwa.hard cash inaaza kwanza ndiyo inafata e-cash
huna hard cash, huna e-cash, huna online transaction
na hifadhi ni hard cash
I stand corrected
Yes ,jaribu na hapo pia,Hawa wengine ni balaa...Dah asante mkuu ushauri mzuri umenipa, siku ile pale nilikuta crdb na nbc ndio wako wazi na nbc bei yao ilikuwa imesimamia kucha,kumbe ningeenda postal bank
hata hiyo e-cash wanayoitoa huko wanakokujua, ilianza kua hard cash mzeehard cash or not
Ndiyo maana hata mimi nashangaa kwamba watu wameshindwa kuagiza mzigo China wakati pesa ya China inatumika. Ni wakati sasa wafanyabiashara kubadilika siyo tu kutegemea Dola na China nao waibrand fedha Yao, huyu ujinga wa Marekani wa kulazimisha indirectly watu kuitumia Dola utakoma.Kama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi, waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details).
Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambe wakupe form ya Bank transfer, waambie unataka kulipa hela China. Watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China.
Pole sana kwa Changamoto....
Soft cash exchange ni tofauti na hard cash exchange mzee....hard cash inaaza kwanza ndiyo inafata e-cash
huna hard cash, huna e-cash, huna online transaction
na hifadhi ni hard cash
I stand corrected
Kenya hali tete
MALAWI ndio kabsaaa
Aisee..Tatizo nchi sasa iko mikononi mwa mafisadi papa, eti Mwigulu awe waziri wa fedha nchi ibaki salama? Samia anayajua hayo na ana sababu zake za kuyafumbia macho
Huyo siyo mwehu bali ana akili sana!Kula mtori nikulipie at least umetoa facts!! Kuna mwehu mmoja kamkumbuka jiwe
soft exchange lazima kuwe na broker, mf: bank , unarudi palepaleSoft cash exchange ni tofauti na hard cash exchange mzee....
Neno Mungu hakika unalitumia vibaya nduguHahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
Ndio aliekuokoa kwa corona maana angesema ufungiwe wewe na ukoo wako wote mngekufa kwa njaa!Angesaidia nini chizi yule, yaani dunia ibadilike na mambo yawe magumu wewe uone kwamba eti jiwe angeweza kufanya kitu, thubutuuuuuu
Hapa mnachofanya ni kutetea tu. Wewe una hata idea how this crisis works and how does it happen?!Sio Kenya tuu Hadi Uturuki..
Ni hivi mfumuko wa bei ya vitu Duniani ulioanzia kwenye Uviko na Sasa vita za Ukraine umesababisha shida hiyo kwenye Nchi nyingi za Dunia.
Kuanzia Ghana Hadi Egypt huko wanaomba mikopo imf Ili kukojoa uchumi zao..
Tanzania tuna nafuu sana na kinachotuokoa ni kwamba vyakula vingi hatuagizi Nje,sie vitu vya viwandani ndio tunaagiza so Serikali inaweka kufanya rationing na maisha yakaenda vizuri.
Swali la kujiuliza volume ya reserve ya dollar kwann inapungua kwa kasi benki kuu?! Pesa zinaenda wapi kufanya manunuzi yepi.Tatizo nchi sasa iko mikononi mwa mafisadi papa, eti Mwigulu awe waziri wa fedha nchi ibaki salama? Samia anayajua hayo na ana sababu zake za kuyafumbia macho
Halafu hao benki wanatoa wapi hizo dollar? Wanasongesha ?!Kama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi, waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details).
Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambie wakupe form ya Bank transfer, waambie unataka kulipa hela China. Watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China.
Pole sana kwa Changamoto....
Kwahiyo ukilipia kitu amazon kupitia Mpesa visa card itabidi Voda wawapelekee Cash amazon? ππππππsoft exchange lazima kuwe na broker, mf: bank , unarudi palepale
siyo rahisi kama unavyodhani
Haujamuelewa tu hapo. Ungemuelewa ungejua kwann kamtaja.Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
Unaongea hadithi nyingi sana zisizo na uhalisia..Hapa mnachofanya ni kutetea tu. Wewe una hata idea how this crisis works and how does it happen?!
Ngoja nikupe mfano kidogo ili uweze kusoma ramani ya nini kinaendelea.
Fumba macho yako hapo halafu wazia kuwa tunafanya biashara kwa barter trade yaani wewe nyumbani kwako hapo na jamii iliyokuzunguka mnatumia ngano.
Sasa ngano iwe ndio nafaka inayokubalika kuliko nafaka zote. Yaani ukiwa na kisado cha ngano unaweza hata badilishana na mtu mwenye ngombe. Yaani kisado kimoja cha ngano kiwe sawa na gunia 5 za mchele na ni sawa na gunia 10 za mahindi.
Sasa hapo ndani kwenye store muwe na gunia kadhaa za ngano mathalani tuseme gunia 100 tu. Halafu gunia hata 10,000 za mchele na 50,000 za mahindi na zingine za ufuta, zingine za nafaka zinginezo ambazo hazina uhitaji mkubwa sokoni.
Sasa namna nzuri ya kuongeza idadi ya gunia za ngano ni kwa kuwa na mbinu nzuri za matumizi ya hizi nafaka nyingine kuweza kupeleka bidhaa huko nje ambazo majirani watapenda na kukubali kubadilishana kwa ngano.
Mfano mkapika kashata za ufuta, wali, ugali na kuweza kuwapata wateja wa hizi bidhaa na kuweza kuzinunua kwa kisado cha ngano na kuwafanya kuongeza kwa kasi sana stock ya ngano mliyonayo na kuwapa purchasing power kubwa sababu mnayo nafaka inayohitajika katika soko kwa wingi sana kwenye store.
Kinyume chake ni mkae mkitumia ngano ya store kupata mahitaji mbali mbali na kuifanya kupungua kiasi kwamba ifikie minimum stock level ambayo hamtaweza sasa kusustain maisha yenu kwasababu hakuna ngano ya kutosha.
Kama umeelewa huu mfano, then kwenye ngano weka dola, na kwenye nafasi ya nafaka weka pesa yaani tz shilling halafu ongezea na resources zingine ghafi tulizonazo ambazo serikali hutumia kupatia mapato.
Sasa unahusishaje uhaba wa dola kwenye uchumi na vita vya Ukraine sijui COVID-19, yaani hivi vitu vinahusiana nini na sisi kukosa akili na uwezo wa kukusanya dollar wakati huko nje tumezungukwa na mataifa kibao ambayo yanahitaji bidhaa tunazoweza tengeneza hapa ndani na kuziuza kwa misingi ya dola.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Maneno mawili Vs povu la TossHahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii